Katika kozi hii tutaanza kwa kuangalia maana ya Biashara ya Kimataifa. Hii itafuatiwa na majadiliano juu ya masuala muhimu yanayohusu Biashara ya Kimataifa ambapo utajifunza juu ya misamiati
- Course creator: Emmy Lee
- Course creator: Beata Minga
- Enrolled students: 3
Karibu katika Kozi inayohusu Haki Miliki ya mali bunifu. Kati ya mambo utakayo jifunza ni pamoja na utangulizi, maana ya Haki Miliki ya mali bunifu matawi ya Haki Miliki na itafuatiwa na majadiliano juu ya mifumo inayosimamia haki miliki ya mali bunifu.
- Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
Katika Kozi hii utaweza kutambua dhana kuu zinazotumika katika mafunzo kwa ajili ya Wakufunzi, kuelezea mifumo iliyozoeleka ya kufundishia na kuelezea umuhimu wa mawaasiliano kama sehemu muhimu kwa ajili ya mafanikio ya programu ya mafunzo
- Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
Katika Kozi ya Msimbomilia na ufuatiliaji wa bidhaa utajifunza maana ya misamiati muhimu kama vile msimbomilia na ufuatiliaji wa bidhaa
- Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
Katika kozi hii tutaeleza na kujadili maana ya andiko la biashara na kufuatiwa na mjadala juu ya hatua muhimu za kufuata wakati wa kuandaa andiko la biashara.
- Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
Karibu katika kozi inayuhusu Ufungashaji Bora wa bidhaa. Sehemu kuu ya mada hii itajikita katika umuhimu wa ufungashaji na nafasi ya ufungashaji bora kama nyenzo ya kimasoko kwa ajili ya bidhaa za walaji.
- Enrolled students: There are no students enrolled in this course.