Enrolment options
Kozi hii ni sehemu ya kwanza ya mafunzo ya msingi maalum kwa ajili ya wale ambao wapo katika hatua ya wazo katika kuanzisha biashara kama biashara ndogo, au ya kati (SME). Unategemewa kukamilisha mafunzo ndani ya masaa 12 kwa kupitia mtandao wa intaneti na kuwa hewani kwa angalau saa moja kila siku.
- Course creator: Ally Kingazi
- Course creator: Christina John Omodo
- Enrolled students: 7