Enrolment options

Matakwa ya Viwango na HACCP kwa bidhaa za Nyanya (Tomato Sause and Ketchup)

Karibu katika mafunzo ya sosi ya nyanya. Katika mada hii utajifunza kuhusu matakwa ya kiwango cha sosi ya nyanya. Mada hii itajadili matakwa ya ujumla ya kiwango cha ubora, matakwa ya kimuundo ya kiwango, matakwa mahususi ya kiwango cha ubora, na Upembuzi wa Athari na Hatua Muhimu za Vikomo vya Udhibiti ('Hazard Analysis and Critical Control Points – HACCP') kwa ajili ya sosi ya nyanya; pamoja na vifungashio, uzito na vipimo, vibandiko na uhifadhi. Utatakiwa ufuate matakwa ya kiwango hiki wakati wa uzalishaji wa sosi ya nyanya.

Furahia somo!

  • Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.