Enrolment options

MATAKWA YA VIWANGO NA UPEMBUZI WA ATHARI NA HATUA MUHIMU ZA VIKOMO VYA UTHIBITI KATIKA BIDHAA ZA SAMAKI

Katika mada hii utajifunza kuhusu matakwa ya viwango kwa ajili ya usindikaji wa samaki. Vilevile mada hii itaangazia matakwa ya ujumla ya viwango vya ubora wa samaki, matakwa ya kimuundo ya viwango (standard compositional requirements), matakwa mahususi ya viwango (vifungashio, uzito na vipimo, vibandiko na uhifadhi), na Upembuzi wa Athari na Hatua Muhimu za Vikomo vya Udhibiti kwenye bidhaa (Hazard Analysis and Critical Control Points (HACCP) kwa ajili ya usindikaji wa samaki. Utatakiwa uzingatie matakwa ya kiwango wakati wa kusindika samaki. Furahia somo lako!

  • Enrolled students: 3
Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)