
|
Katika mada hii utajifunza kuhusu matakwa ya viwango kwa ajili ya usindikaji wa samaki. Vilevile mada hii itaangazia matakwa ya ujumla ya viwango vya ubora wa samaki, matakwa ya kimuundo ya viwango (standard compositional requirements), matakwa mahususi ya viwango (vifungashio, uzito na vipimo, vibandiko na uhifadhi), na Upembuzi wa Athari na Hatua Muhimu za Vikomo vya Udhibiti kwenye bidhaa (Hazard Analysis and Critical Control Points (HACCP) kwa ajili ya usindikaji wa samaki. Utatakiwa uzingatie matakwa ya kiwango wakati wa kusindika samaki. Furahia somo lako! |
- Enrolled students: 3
Karibu katika mafunzo ya sosi ya nyanya. Katika mada hii utajifunza kuhusu matakwa ya kiwango cha sosi ya nyanya. Mada hii itajadili matakwa ya ujumla ya kiwango cha ubora, matakwa ya kimuundo ya kiwango, matakwa mahususi ya kiwango cha ubora, na Upembuzi wa Athari na Hatua Muhimu za Vikomo vya Udhibiti ('Hazard Analysis and Critical Control Points – HACCP') kwa ajili ya sosi ya nyanya; pamoja na vifungashio, uzito na vipimo, vibandiko na uhifadhi. Utatakiwa ufuate matakwa ya kiwango hiki wakati wa uzalishaji wa sosi ya nyanya.
Furahia somo!
- Enrolled students: There are no students enrolled in this course.

