Enrolment options
Karibu katika kozi ya ISO 22000:2005 – Kiwango cha usimamizi wa usalama wa chakula.Kozi itaanza kwa kutoa utangulizi juu ya mfumo wa usimamizi wa usalama wa chakula (Food Safety Management Systems – FSMS), na kufuatiwa na mjadala juu ya mipango na utekelezaji wa bidhaa salama za chakula, uhakiki, uidhinishaji na uboreshaji wa usalama wa chakula. Kwa ujumla, mada itajadili vifungu vyote vya ISO 22000.
- Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.