UPEMBUZI WA ATHARI NA VIKOMO VYA UDHIBITI– TZS 1770:2016

Karibu katika mada ya tatu. Katika mada hii tutajifunza kuhusu upembuzi wa athari na vikomo vya udhibiti (HACCP). Mfumo wa HACCP ni sawa na kiwango cha Tanzania cha TZS 1770:2016 – ambayo ndiyo mfumo wa upembuzi wa athari na vikomo vya udhibiti– na ndiyo vigezo kwa ajili ya shirika/taasisi yoyote inayojihusisha na mnyororo  wa usalama wa chakula.

  • Enrolled students: 2
KIWANGO CHA USIMAMIZI WA USALAMA WA CHAKULA - ISO 22000:2005

Karibu katika kozi ya ISO 22000:2005 – Kiwango cha usimamizi wa usalama wa chakula.Kozi itaanza kwa kutoa utangulizi juu ya mfumo wa usimamizi wa usalama wa chakula (Food Safety Management Systems – FSMS), na kufuatiwa na mjadala juu ya mipango na utekelezaji wa bidhaa salama za chakula, uhakiki, uidhinishaji na uboreshaji wa usalama wa chakula. Kwa ujumla, mada itajadili vifungu vyote vya ISO 22000.

  • Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
MAELEZO YA JUMLA YA VIWANGO VYA MIFUMO WA USIMAMIZI

Karibu katika mada ya kwanza juu ya viwango vya usimamizi wa mifumo.  Katika mada hii tutajifunza viwango kwa ujumla na kutoa maelezo ya utangulizi ya shirika la viwango la kimataifa (ISO), kisha tutajifunza aina kuu za viwango na faida zake.

  • Enrolled students: There are no students enrolled in this course.
UTANGULIZI WA ISO 9001:2015  -  MFUMO WA USIMAMIZI WA UBORA

Karibu katika mada ya pili inayohusu vigezo vya mfumo wa usimamizi wa ubora kwa mujibu wa ISO 9001:2015. Katika mada hii tutajifunza dhana za msingi za mifumo ya usimamizi wa ubora, itafuatiwa na ubainishaji wa kanuni za chimbuko la ISO 9001:2015.

  • Enrolled students: There are no students enrolled in this course.