Enrolment options
Karibu katika mada ya tatu. Katika mada hii tutajifunza kuhusu upembuzi wa athari na vikomo vya udhibiti (HACCP). Mfumo wa HACCP ni sawa na kiwango cha Tanzania cha TZS 1770:2016 – ambayo ndiyo mfumo wa upembuzi wa athari na vikomo vya udhibiti– na ndiyo vigezo kwa ajili ya shirika/taasisi yoyote inayojihusisha na mnyororo wa usalama wa chakula.
- Wanafunzi waliojiandikisha: 2