Enrolment options
Karibu katika Mada ya tatu. Katika mada hii tutajifunza kuhusu sifa za ubora wa samaki waliosindikwa. Hii inategemea hatua nzima za usindikaji, pamoja na mchoro wa mtririko wa hatua za usindikaji. Vilevile, tutajifunza stadi zinazohitajika katika usindikaji wa samaki na maelezo juu ya vifaa vinavyotumika. Utapata fursa ya kujaribu stadi hizi katika biashara yako na kuweza kuziboresha. Unapaswa kutazama zaidi ya biashara yako kwa kuwatembelea wamiliki wa biashara nyingine zinazofanana na ya kwako. Furahia somo!
- Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.