Enrolment options
Karibu katika Mada ya Sita. Katika mada hii, utajifunza kuhusu matakwa ya kiwango ya unga bora wa muhogo na bidhaa zake. Mada itajadili matakwa ya jumla kiwango cha unga bora wa muhogo, matakwa ya kiwango ya kimuundo, matakwa mahsusi ya kiwango, na Upembuzi wa Athari na Hatua Muhimu za Vikomo vya Udhibiti (Hazard Analysis and Critical Control Points – HACCP) kwa ajili ya muhogo.
- Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.