Enrolment options
Kozi hii inahusu Ngazi ya Kati ya Viwango inayotolewa na TBS. Ni kozi inyolenga kuboresha bidhaa zinazozalishwa kwa ajili ya soko la ndani ya nchi. Moduli hii ni maalum kwa ajili ya wale ambao tayari wameshaanzisha biashara zao ndogo au za kati na wameshaanza kuzalisha bidhaa mbalimbali. Moduli hii inajikita katika bidhaa ya Korosho na inashauriwa kuwa mshiriki awe amekamilisha Kozi ya Msingi juu ya Viwango muhimu vinavyohitajika. Utatakiwa ukamilishe kozi kwa muda wa masaa matatu. Na kwa kuwa kozi hii huendeshwa kwa njia ya mtandao wa intaneti hivyo unatakiwa utumie mtandao wa intaneti angalau kwa saa moja kila siku.
- Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.