Enrolment options
Karibu katika Kozi hii. Katika kozi hii tutajifunza kwa ujumla juu ya sifa za unga bora wa muhogo na bidhaa zake. Hii itafuatiwa na majadiliano juu ya hatua za usindikaji na uzalishaji. Vilevile, stadi zinazohitajika katika uzalishaji wa unga bora wa muhogo zitafundishwa ikiwa ni pamoja na maelezo ya vifaa na vitendeakazi vinavyohitajika. Pia utapata nafasi ya kutumia stadi hizi katika biashara yako na hata kuziboresha. Inategemewa pia kuwa utaweza kufanya zaidi katika biashara yako kwa kutembelea biashara nyingine zinazofanana na yako zilizopo karibu nawe. Furahia somo!
- Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.