Enrolment options
Karibu katika ulimwengu wa pamba (nyuzi asili –natural fiber). Katika mada utajifunza juu ya uzalishaji wa pamba nchini Tanzania, ‘mambo ya ‘kufanya na ‘yasiyofaa kufanya’ katika uzalishaji wa pamba bora; mambo ya kuzingatia kuanzia hatua ya uvunaji hadi hatua ya kuchambua pamba ili kuepuka vichafuzi katika pamba.
- Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.