Enrolment options

Stadi za Msingi na Hatua za Usindikaji wa Sosi ya Nyanya

Karibu katika mada ya Saba. Katika mada hii tutajifunza kuhusu sifa za Sosi bora ya Nyanya. Hii itafuatiwa na mchakato mzima wa usindikaja pamoja na mchoro wa mtiririko unaoonesha hatua za usindikaji na uzalishaji. Vilevile, stadi zinazohitajika kwa ajili ya kusindika sosi ya nyanya zitajadiliwa pamoja na maelezo juu ya vifaa na vintendeakazi husika. Utaweza kutumia stadi hizi katika biashara yako na hata kuziboresha. Utategemewa uangalie zaidi ya biashara yako kwa kwenda kutembelea biashara nyingine zinazofanana na ya kwako zilizopo karibu  nawe. Furahia somo!

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.