Enrolment options

Stadi Za Msingi Na Hatua Za Kuchakata Na Kuzalisha Nguo Na Mavazi

Karibu katika kozi hii . Katika kozi hii tutajifunza kuhusu sifa za mavazi na ubora wa nguo. Hii itafuatiwa na hatua za uchakataji, pamoja na mchoro unaonesha mtiririko wa hatua za uchakataji na uzalishaji. Vilevile, tutatazama stadi zinazohitajika kwa ajili ya uchakataji wa mavazi na nguo pamoja na maelezo juu ya vifaa vinavyotumika. Utaweza kutumia stadi hizi katika biashara yako pamoja na kuziboresha. Utategemewa utizame zaidi ya biashara yako kwa maana ya kutembelea biashara nyingine inayofanana na ya kwako. Furahia somo!

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Guests cannot access this course. Please log in.