HATUA ZA UZALISHAJI WA NONDO

Karibu kwenye mada ya uzalishaji wa nondo. Katika mada hii, tutazungumzia sifa za ubora wa nondo. Hii inafuatiwa na utaratibu kamili wa uzalishaji, ikiwa ni pamoja na chati ya mtiririko inayoonyesha hatua za mchakato wa uzalishaji. pia ujuzi unaohitajika katika uzalishaji wa nondo pamoja na maelezo ya vifaa vinavyohitajika. Baada ya mada hii utakuwa na uwezo wa kuongeza na kuboresha ujuzi katika biashara yako ya uzalishajiwa nondo.  Pia inatarajiwa utakwenda nje ya biashara yako mwenyewe kwa kutembelea viwanda vya uzalishaji wa nondo vilivyo karibu nawe.

 Furahia mafunzo

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Stadi Za Msingi Na Hatua Za Kuchakata Na Kuzalisha Nguo Na Mavazi

Karibu katika kozi hii . Katika kozi hii tutajifunza kuhusu sifa za mavazi na ubora wa nguo. Hii itafuatiwa na hatua za uchakataji, pamoja na mchoro unaonesha mtiririko wa hatua za uchakataji na uzalishaji. Vilevile, tutatazama stadi zinazohitajika kwa ajili ya uchakataji wa mavazi na nguo pamoja na maelezo juu ya vifaa vinavyotumika. Utaweza kutumia stadi hizi katika biashara yako pamoja na kuziboresha. Utategemewa utizame zaidi ya biashara yako kwa maana ya kutembelea biashara nyingine inayofanana na ya kwako. Furahia somo!

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
STADI ZA MSINGI NA HATUA ZA USINDIKAJI MUHOGO

Karibu katika Kozi hii. Katika kozi  hii tutajifunza   kwa ujumla juu ya sifa za unga bora wa muhogo na bidhaa zake.    Hii itafuatiwa na majadiliano juu ya hatua za usindikaji na uzalishaji. Vilevile, stadi zinazohitajika katika uzalishaji wa unga bora wa muhogo zitafundishwa ikiwa ni pamoja na maelezo ya vifaa na vitendeakazi vinavyohitajika. Pia utapata nafasi ya kutumia stadi hizi katika biashara yako na hata kuziboresha. Inategemewa pia kuwa utaweza kufanya zaidi katika biashara yako kwa kutembelea biashara nyingine zinazofanana na yako zilizopo karibu nawe. Furahia somo!

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Stadi za Msingi na Hatua za Usindikaji wa Juisi ya Embe

Karibu katika kozi ya Tano, Katika mada hii tutajadili sifa za juisi bora ya embe na hatua zote za usindikaji.

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Stadi za msingi na hatua za usindikaji wa samaki

Karibu katika Mada ya tatu. Katika mada hii tutajifunza kuhusu sifa za  ubora wa samaki waliosindikwa. Hii inategemea hatua nzima za usindikaji, pamoja na mchoro wa mtririko wa hatua za usindikaji. Vilevile, tutajifunza stadi zinazohitajika katika usindikaji wa samaki na maelezo juu ya vifaa vinavyotumika.  Utapata fursa ya kujaribu stadi hizi katika biashara yako na kuweza kuziboresha. Unapaswa kutazama zaidi ya biashara yako kwa kuwatembelea wamiliki wa biashara nyingine zinazofanana na ya kwako. Furahia somo!

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Stadi za Msingi na Hatua za Usindikaji wa Sosi ya Nyanya

Karibu katika mada ya Saba. Katika mada hii tutajifunza kuhusu sifa za Sosi bora ya Nyanya. Hii itafuatiwa na mchakato mzima wa usindikaja pamoja na mchoro wa mtiririko unaoonesha hatua za usindikaji na uzalishaji. Vilevile, stadi zinazohitajika kwa ajili ya kusindika sosi ya nyanya zitajadiliwa pamoja na maelezo juu ya vifaa na vintendeakazi husika. Utaweza kutumia stadi hizi katika biashara yako na hata kuziboresha. Utategemewa uangalie zaidi ya biashara yako kwa kwenda kutembelea biashara nyingine zinazofanana na ya kwako zilizopo karibu  nawe. Furahia somo!

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Stadi za Msingi na hatua za usindikaji/uchakataji wa korosho

Moduli hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya Kozi ya Msingi juu ya Viwango inayotolewa na TBS. Ni kozi inayolenga kuboresha bidhaa zinazozalishwa kwa ajili ya soko la ndani ya nchi. Moduli hii ni maalum kwa ajili ya wale ambao tayari wameshaanzisha biashara ndogo au za kati na wameshaanza kuzalisha bidhaa mbalimbali.

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Stadi za msingi na uchakataji wa asali

Tutajifunza sifa za asali bora,  kanuni bora za ufugaji nyuki, hatua za uvunaji na uchakataji wa asali , pamoja na mchoro unaoonesha mtiririko mzima wa uchakataji. Aidha tutazama stadi zinazohitajika katika uzalishaji wa asali pamoja na maelezo juu ya vifaa vinavyotumika.

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
Uchakataji wa ngozi ghafi

Karibu katika mada ya nne. Katika mada hii tutajifunza jinsi ya kuchakata ngozi ghafi itakayokithi viwango katika shoko la ushindani. Mada hii itajadili kanuni bora za uchakataji kuanzia machinjioni hadi kiwandani ambako ngozi huchakatwa. Mambo muhimu ya kuzingatiwa katika mada hii ni pamoja na ufugaji bora, uchinjaji, uchunaji, ukusanaji na uhifadhi kwa kutumia maelekezo ya viwango vya Tanzania

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.
UZALISHAJI NA HATUA ZA UCHAKATAJI WA PAMBA

Karibu katika ulimwengu wa pamba (nyuzi asili –natural fiber). Katika mada utajifunza juu ya uzalishaji wa pamba nchini Tanzania, ‘mambo ya ‘kufanya na ‘yasiyofaa kufanya’ katika uzalishaji wa pamba bora; mambo ya kuzingatia  kuanzia hatua ya uvunaji hadi hatua ya kuchambua pamba ili kuepuka vichafuzi katika pamba.

  • Wanafunzi waliojiandikisha: There are no students enrolled in this course.